Christian Bella aeleza siri ya kufanya vizuri katika show zake

KUTAZAMA VIDEO YAKE BONYEZA
HAPA CHINI▼▼


PICHA ZAKE ZOTE AKIWA MTUPU BONYEZA
HAPA CHINI▼▼


 

Mkali wa masauti Christian Bella amesema kigezo pekee cha kuwa na hit song hakiwezi kumfanya msanii afanye vizuri katika show zake.
Akiongea na Bongo5 wiki hii Christian Bella amesema msanii kabla haujafanya show lazima utambue mashabiki wako huwa wanapenda kitu gani katika muziki wako.
“Mashabiki wana vitu vyao ambavyo wanataka kuvisikia au kuviona kutoka kwa msanii, unaweza ukawa na hit song kibao lakini ukashindwa kuzitumia. Kwa hiyo mimi binafsi tayari nimeshajua mashabiki wangu kwenye show huwa wanataka nini, ndo maana kila show ninayofanya lazima nifanye poa kwa sababu tayari nimeshajua nini wanataka mashabiki wangu,” alisema Bella.
Pia muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Nishike’ amewataka wasanii kuimba live na kwa hisia ili kuteka vizuri hisia za mashabiki wao.

KWA NAFASI ZA KAZI POPOTE TANZANIA, BONYEZA
HAPA CHINI▼▼

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
[3.00 MB]VIDEO YA ALIKIBA AKIBANDUANA NA JOKATE, BONYEZA
HAPA CHINI▼▼



0 comments: