SHILOLE: THE BONGO FLEVA FEMALE SINGER CLAIMED THAT PEOPLE HUMILIATED HER AT KIGAMBONI BRIDGE.READ HERE FOR DETAILS >>>
HAPA CHINI▼▼


HAPA CHINI▼▼



Msanii wa bongo fleva Shilole kupitia akaunti yake ya Instagram
amelalamika kuwa amefanyiwa kitu kibaya kwenye kivuko cha kigamboni.
Msanii huyo hakutaja hasa kitu gani amefanyiwa bali alihoji kama nchi
inathamini mchango wa wasanii kwenye kuitangaza nchi na kama kuna
thamani yoyote ya mtu kuwa kuwa mtanzania ikiwa kuna vitendo kama
alichotendewa,hiki ndicho alichoandika.
“Uzalendo maana yake nini??
Je kuna thamani yoyote kuwa mtanzania??
Je jitihada zozote zinazofanywa na wasanii kuitambulisha nchi yao zinathaminiwa??
Jana nimetendewa kitendo cha ajabu katika kivuko cha kigamboni na
kutendewa udhalili bila kujali kuwa mimi ni mwanajamii nayegusa maisha
ya watu.
Muziki ni biashara, lakini pia tuna nafasi yetu katika kuisaidia jamii na kupeleka ujumbe muhimu.
Tusiheshimiwe tunapohitajika na kudharaulika tunapohitaji tuheshimiwe.
Nimeguswa…. Nimeumia.
Someone should act. @paulmakonda @paulmakonda” ameandika Msanii huyo.HAPA CHINI▼▼
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
HAPA CHINI▼▼

0 comments: