NUH MZIWANDA THE TANZANIAN BONGO FLAVER MUSICIAN DECIDED TO HAVE PERSONAL BOADGUDY. READ FOR DETAILS
HAPA CHINI▼▼


HAPA CHINI▼▼



KUFUATIA kuwepo madai kuwa msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda kutishiwa
kupewa kichapo na mijemba inayodaiwa ilitumwa na aliyekuwa mpenzi wake
Shilole, hatimaye Nuh aamua kukodi bodigadi wa kumlinda.
Nuh alionekana akiwa na bodigadi huyo kwenye Tamasha la Mwendokasi lililofanyika Viwanja vya Posta jijini Dar hivi karibuni jambo lililozua minong’ono kwa baadhi ya mashabiki wake.
Katika tamasha hilo burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali wakiwemo Barnaba, Isha Mashauzi, Juma Nature, Rich One, Man Fongo, G. Nako, Lord Eyes, Navy Kenzo, S
HAPA CHINI▼▼
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
HAPA CHINI▼▼

0 comments: