OHOOO!!! Ushamba wa Adam Mchomvu baada ya kuingia bungeni mara ya kwanza
HAPA CHINI▼▼


HAPA CHINI▼▼



Najua ukiambiwa utaje majina ya watangazaji kumi wa radio Tanzania wenye ushawishi mkubwa hakika jina la Adam Mchomvu
linaweza kuwa ni moja wapo, yes… achilia mbali uwezo wake wa kutangaza
lakini pia amekuwa ni kati ya watanzania wenye vipaji vya kuchekesha
kupitia matamshi yake.
September 16 2016 watumishi wa Clouds media pamoja na baadhi ya wasanii wa bongofleva walialikwa bungeni Dodoma kwa ajili ya kujionea mambo mbalimbali ikiwemo utendaji kazi wa bunge hilo ambapo baada ya kutoka nje 24NEWS TV ilimnasa Adam Mchomvu aliyeshare na sisi baadhi ya mambo aliyokutana nayo ndani na mengine yakamtia ushamba.
HAPA CHINI▼▼
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
HAPA CHINI▼▼

0 comments: